Kiungo David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Shakhtar Donetsk usiku wa Jumanne Uwanja wa Oblasny Sport Complex Metalist mjini Kharkiv, Ukraine kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Aymeric Laporte dakika ya 35 na Bernardo Silva dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment