David Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 87 ikiilaza 2-1 Hoffenheim katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Wirsol Rhein-Neckar-Arena mjini Sinsheim, Ujerumani. Ishak Belfodil alianza kuifungia Hoffenheim sekunde ya 45 kabla ya Sergio Aguero kuisawazishia Man City dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim's team news update
-
The boss hopes a key performer will be fit in time to face the Gunners.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment