// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KUHOFIA FAINI UEFA, MAN UNITED WAWEKA KAMBI JIRANI NA OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KUHOFIA FAINI UEFA, MAN UNITED WAWEKA KAMBI JIRANI NA OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, October 23, 2018

    KUHOFIA FAINI UEFA, MAN UNITED WAWEKA KAMBI JIRANI NA OLD TRAFFORD

    Wachezaji wa Manchester United, Paul Pogba, Anthony Martial na Romelu Lukaku wakiwasili katika hoteli ya Hilton jana jirani kabisa na Uwanja wa Old Trafford kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Juventus kuhofia kupigwa faini na UEFA tena baada ya kuchelewa uwanjani katika mchezo dhidi ya Valencia 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KUHOFIA FAINI UEFA, MAN UNITED WAWEKA KAMBI JIRANI NA OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top