Mshambuliaji Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Atletico Madrid jana dakika za 28 na 67 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Bruges usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, hilo likiwa bao la 8000 katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la la Atletico Madrid lilifungwa na Koke dakika ya 90 na ushei, wakati na Bruges lilifungwa na Arnaut Danjuma Groeneveld dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CFB Coaches Show Support for Proposal to Create Single Transfer Portal
Window
-
Division I FBS coaches voted Tuesday during the American Football Coaches
Association convention to change the current transfer portal time window
frame to…
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment