Ross Barkley akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya sita ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 katika sare ya 2-2 na Manchester United leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Antonio Rudiger alianza kuifungia Chelsea dakika ya 21 kabla ya Anthony Martial kuifungia mabao mawili mfululizo Manchester United dakika za 55 na 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Antonio Rudiger alianza kuifungia Chelsea dakika ya 21 kabla ya Anthony Martial kuifungia mabao mawili mfululizo Manchester United dakika za 55 na 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment