Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa AEK Athens, Dmytro Chygrynskiy katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Athens, Ugiriki. Bayern Munich walishinda 2-0, mabao ya Javi Martinez dakika ya 61 na Lewandowski dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment