Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 54, Fernandinho dakika ya 56, Riyad Mahrez dakika ya 83 na Leroy Sane dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alejandro Garnacho 'is being watched by European giant after shock
Manchester derby snubbing'
-
The Argentine forward - along with fellow Carrington graduate Marcus
Rashford - was one of two major Red Devils stars dropped ahead of the
must-win Manches...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment