Wednesday, October 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni, Boniface Pawasa ametaja kikosi chake kwa ajili ya Fainal...
KMC YAISHINDILIA NDANDA FC 3-0 NA KUJIINUA KIDOGO KUTOKA CHINI KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU
Wednesday, October 31, 2018
TIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) leo imebuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi K...
MOHAMMED ISSA ‘BANKA’ KUANZA KUICHEZEA YANGA FEBRUARI 8 MWAKANI ADHABU YAKE YA BANGI IKIISHA
Wednesday, October 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mohammed Issa Juma 'Banka' ataruhusiwa kuendelea kucheza soka ifikapo Februari 8 mwakani a...
BAYERN WAIPIGA 2-1 TIMU YA DARAJA LA NNE KOMBE LA UJERUMANI
Wednesday, October 31, 2018
Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Rodinghausen ya Daraja la Nne kwenye mchezo wa Kombe ...
YANGA SC 1-0 LIPULI FC (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, October 31, 2018
Tuesday, October 30, 2018
YANGA SC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA LIPULI FC 1-0 BAO PEKEE LA MAKAMBO TAIFA
Tuesday, October 30, 2018
Na Nasra Omar, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga SC imerudi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa bao 1...
MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA DAKIKA 10 ZA MWISHO SARE 2-2 NA MBEYA CITY
Tuesday, October 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU ya Mbao FC leo imeponea chupuchupu kupoteza mechi ya pili mfululizo nyumbani, baada ya kulazimisha sare ya ...
TFF KUSAFIRISHA WAANDISHI WA HABARI 15 KWA BASI KWENDA KURIPOTI MECHI YA TAIFA STARS NA LESOTHO
Tuesday, October 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa nafasi 15 za usafiri wa basi kwa Waandishi wa Habari kwenda Les...
MAHREZ AFUNGA BAO PEKE MAN CITY YAWAPIGA 1-0 TOTTENHAM WEMBELY
Tuesday, October 30, 2018
Mshambuliaji wa Manchester City, Riyad Mahrez akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa...
KOCHA WA TIMU B ARITHISHWA MIKOBA YA LOPETEGUI ALIYEFUKUZWA REAL MADRID
Tuesday, October 30, 2018
KLABU ya Real Madrid imemfukuza kocha wake, Julen Lopetegui na kumpandisha kocha wa timu B, Santiago Solari kuiongoza timu kwa muda. Bodi ...
Monday, October 29, 2018
MWADUI FC WAWATWANGA WAPINZANI WAO WA SHINYANGA NA KUANZA KUJINASUA MKIANI LIGI KUU
Monday, October 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA TIMU ya Mwadui FC imeanza kujiinua kutoka mkiani baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Stand United katik...
MSEMAJI WA SIMBA SC, HAJJI SUNDAY MANARA ATEULIWA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA ASAS YA IRINGA
Monday, October 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Hajji Sunda...
HIDAYA JUMA WA DAR AWA MWANAMKE WA PILI KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA
Monday, October 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya ushindi SportPesa inaendelea kufurahia mafanikio ya ushindi wa wateja wake hasa baada ya washindi...
WATANO WAFARIKI DUNIA KWENYE HELIKOPTA YA MMILIKI WA LEICESTER
Monday, October 29, 2018
WATU watano wamefariki dunia pamoja na mmiliki wa klabu ya Leicester City ya England, bilionea Vichai Srivaddhanaprabha baada ya helikopta ...
SAMATTA AFUNGA BAO BADO KIDOGO GENK ISHINDE, IKASAWAZISHIWA DAKIKA YA MWISHO NA KUTOA SARE 1-1 UGENINI
Monday, October 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, LIEGE MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alifunga bao lililoelekea kuipa ushindi timu yake...
MBAPPE ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA PSG WAIPIGA 2-0 MARSEILLE
Monday, October 29, 2018
Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza PSG dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Marseille kwenye mechi ya mah...
MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA QUREISH UFUNGUO
Monday, October 29, 2018
MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA HEMED MATOBANGO
Monday, October 29, 2018
RUVU SHOOTING 0-5 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, October 29, 2018
SINGIDA UNITED 0-1 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, October 29, 2018
MAHOJIANO YA BIN ZUBEIRY NA MWANAMTWA KIHWELO
Monday, October 29, 2018
Sunday, October 28, 2018
SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAIFUMUA REAL MADRID 5-1
Sunday, October 28, 2018
Mshambuliaji Luis Suarez wa Barcelona akishangilia kwa kuonyesha picha ya mtoto wake mpya na ujumbe; 'Welcome Lauti' baada ya kuf...
CHELSEA YAICHAPA 4-0 BURNLEY PALE PALE TURF MOOR
Sunday, October 28, 2018
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa ...
PENALTI MBILI ZAIKOSESHA USHINDI ARSENAL, YATOA SARE 2-2 NA PALACE
Sunday, October 28, 2018
Mshambuliaji wa Crystal Palace, Wilfried Zaha akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Arsenal, Alex Iwobi na Matteo Guendouzi katika m...
POGBA AFUNGA LA KWANZA, ASETI LA PILI MAN UNITED YAICHAPA EVERTON 2-1
Sunday, October 28, 2018
Paul Pogba na Anthony Martial wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1wa Manchester United dhidi ya Everton leo Uwanja w...
MMILIKI WA LEICESTER CITY AFARIKI DUNIA NDANI YA HELIKOPTA YAKE ILIYOTEKETEA KWA MOTO
Sunday, October 28, 2018
IMETHIBITISHWA mmiliki wa klabu ya Leicester City ya England, Vichai Srivaddhanaprabha amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa amepand...
OKWI AFUNGA HAT TRICK SIMBA SC YAISHUGHULIKIA KIKAMILIFU RUVU SHOOTING, YAIPIGA 5-0 TAIFA
Sunday, October 28, 2018
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara b...
BBC YARIPOTI MMILIKI WA LEICESTER ALIKUWEMO KWENYE HELIKOPTA
Sunday, October 28, 2018
MASHABIKI wa Leicester City ya England wapo katika majonzi baada ya taarifa kwamba mmiliki wa klabu yao, Vichai Srivaddhanaprabha alikuwemo...
NGOMA AFUNGA BAO PEKEE NAMFUA AZAM YAICHAPA 1-0 SINGIDA UNITED, MTIBWA SUGAR NAO WAWAPIGA KAGERA
Sunday, October 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, SINGIDA BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Dombo Ngoma limeipa ushinidi wa 1-0 Azam FC dhidi ya wenyeji, Singi...
MGOMBEA UENYEKITI WA BODI AAHIDI MAMBO MAZURI SIMBA SC AKICHAGULIWA NOVEMBA 4
Sunday, October 28, 2018
Na Nasra Omary, DAR ES SALAAM MGOMBEA Uwenyekiti wa bodi ya klabu ya Simba SC, Swedy Nkwabi amewaomba wanachama wamchague akashirikiane na...
WANARIADHA WA TANZANIA BARA WATAMBA MBIO ZA KILOMITA 10 ZA KMKM ZANZIBAR
Sunday, October 28, 2018
Na Makame Mshenga, ZANZIBAR WAKIMBIAJI kutoka Tanzania Bara, wameibuka washindi wa nafasi zote tatu za juu kwa wanawake na wanaume katika ...
Subscribe to:
Posts (Atom)