Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Coastal Union, Ibrahim Ame katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum akiondoka na mpira dhidi ya mchezaji wa Coastal Union
Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akipasua katikati ya wachezaji wa Coastal Union
Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akimtoka mchezaji wa Coastal Union
Mshambuliaji wa Yanga SC, Matheo Anthony akimtoka beki wa Coastal Union
Kiungo wa Coastal Union, Athumani Iddi 'Chuji' akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi
Beki wa Yanga, Gardiel Michael akitia krosi jana
Mkongwe Mrisho Ngassa akitafuta maarifa ya kupita
Kikosi cha Yanga kabla ya mechi jana Uwanja wa Taifa na chini ni kikosi cha Coastal Union
Amad focused on doing his best for United
-
The forward is optimistic for the future, as part of a young core of Reds
who are determined to turn fortunes around.
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment