Beki wa Uganda, Hassan Wasswa Mawanda akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta katika mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon uliofanyika jana Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala, Uganda timu hizo zikitoka sare ya 0-0. PICHA KWA HISANI YA FIFA
Moses Waiswa wa Uganda akiondoka na mpira mbele ya beki wa Tanzania, Aggrey Morris
Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana
Kikosi cha Uganda katika mchezo wa jana
Osmajic's double guides Preston past Charlton
-
Watch the highlights as Milutin Osmajic's double helps Preston beat
Charlton 2-1 in the FA Cup third round.
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment