Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika za 50 na 65 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sassuolo kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Sassuolo limefungwa na Msenegal, Khouma El Hadji Babacar na Ronaldo amefunga kwa mara ya kwanza leo baada ya kucheza mechi tatu awali bila kufunga kufuatia kujiunga na timu hiyo kutoka Real Madrid kwa ada ya Pauni Milioni 100 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hearts of Oak midfielder Yaw Amankwah Baafi set to join Dreams FC
-
Hearts of Oak has reached an agreement with Dreams FC for the loan transfer
of winger Yaw Amankwah Baafi.The deal will see the talented attacker join
Dream...
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment