• HABARI MPYA

        Saturday, September 29, 2018

        OZIL AFUNGA ARSENAL YAICHAPA 2-0 WATFORD EMIRATES

        Mesut Ozil (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London kufuatia Craig Cathcart kujifunga dakika ya 81 kuwapatia Washika Bunduki hao bao la kwanza 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: OZIL AFUNGA ARSENAL YAICHAPA 2-0 WATFORD EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry