Naomi Osaka, binti Mjapan mwenye umri wa miaka 20 akiinua taji la michuano ya tenisi ya US Open baada ya ushindi wa seti mbili mfuluzo (6-2, 6-4) dhidi ya mkongwe mwenye umri wa miaka 36, Serena Williams usiku wa jana Uwanja wa Arthur Ashe, Flushing Meadows.
Naoni anaweka rekodi ya kuwa Mjapan wa kwanza kutwaa taji la Grand Slam kwa mchezaji mmoja mmoja katika fainali ya kukumbukwa kufuatia Serena kuadhibiwa baada ya kumuita 'Umpire' Carlos Ramos mwizi kufuatia kupokonywa pointi kwa kupokea maelekezo kutoka kwa kocha wakati mchezo ukiendelea kinyume cha sheria PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment