Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akimdhibiti mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta katika mchezo wa Kundi L Europa League jana Uwanja wa Luminus Arena. Genk ilishinda 2-0.
Beki wa Malmo FF ya Sweden, Lasse Nielsen akipata shida kumdhibiti Mbwana Samatta
Mbwana Samatta akimfukuzia beki wa Malmo FF, Rasmus Bengtsson jana
Hapa Mbwana Samatta anashangilia baada ya kuifungia bao la pili Genk
Hapa akipongezana na mfungaji wa bao la kwanza la Genk, Leandro Trossard (kushoto)
Hiki ni kikosi kilichoanza cha KRC Genk jana
PLAY TEAMSHEET: Can YOU remember the Arsenal team that beat Ipswich Town
2-0 in April 2002?
-
Every day we'll challenge you to name a different starting XI from the
Premier League era. We'll give you a team's rough formation, and the number
of lette...
59 minutes ago
0 comments:
Post a Comment