Chris Smalling akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 38 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford leo Uwanja wa Vicarage Road kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la United lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 35 wakati la Watford limefungwa na Andre Gray dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ghana winger Osman Bukari begins pre-season with Austin FC
-
Black Stars forward Osman Bukari has returned to the United States to
resume pre-season with MLS side Austin FC.The 26-year-old arrived in Texas
over the w...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment