Kyle Walker akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili kwa shuti la umbali wa mita 30 dakika ya 52 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Newcastle United 2-1 Uwanja wa Etihad leo. Bao lingine la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya nane na la Newcastle limefungwa na DeAndre Yedlin dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arteta spots differences in United's style
-
Arsenal boss feels United will be more of a threat than we were in the
league game last month.
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment