Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza Ryad Mahrez baada ya Mualgeria huyo kufunga mabao mawili dakika ya 67 na 89 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji Cardiff City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Cardiff City. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 32, Bernardo Silva dakika ya 35 na İlkay Gundogan dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cowboys' CeeDee Lamb Unveils Leg Tattoos Featuring Allen Iverson in New
Photos
-
Dallas Cowboys wide receiver CeeDee Lamb revealed his ongoing collection of
leg tattoos on Saturday, which include pictures of Philadelphia 76ers
legend Al...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment