Mshambuliaji Romelu Lukaku akiwa juu kuifungia kwa kichwa Manchester United bao la kwanza dakika ya27 baada ya krosi ya Alexis Sanchez kabla ya kumtungua tena kipa wa Burnley, Joe Hart dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor. Katika mchezo huo, Paul Pogba alikosa penalti dakika ya 69 na Marcus Rashford akatolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 71 kufuatia kuingia kuchukua nafasi ya Sanchez dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'A horrible moment!' Long-range shot goes through Burnley keeper's legs
-
Burnley goalkeeper Vaclav Hladky sees a long-range shot from Reading's
Lewis Wing goes through his legs and into the net during their third-round
FA Cup tie.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment