Roberto Firmino akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 54, kufuatia Georginio Wijnaldum kufunga la kwanza dakika ya 39 kabla ya kiungo Muargentina, Erik Lamela kuifungia Tottenham Hotspur dakika ya 90 na ushei Wekundu hao wa Anfield wakishinda 2-1 Uwanja wa Wembley mjini London huo ukiwa ushindi wa tano mfululizo katika mechi zote tano za mwanzo za Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pundit Predictions: Do you agree with Wes Brown?
-
Champions League winner Wes Brown has made his United Predictions for
Arsenal away, and you can too.
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment