Mshambuliaji Lionel Messi wa Barcelona akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Athletic Club Bibao jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga uliomalizika kwa sare ya 1-1. Bilbao walitangulia kwa bao la beki Oscar Marcos Arana maarufu De Marcos dakika ya 41, kabla ya Munir El Haddadi Mohamed kuisawazishia Barca dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim nominated for Manager of the Month
-
Ruben is on the shortlist for March, after a positive few weeks for United.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment