Mshambuliaji Mbelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 85 ikiilaza Liverpool 2-1 usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao. Hazard alifunga bao hilo baada ya kuingia dakika ya 56 kuchukua nafasi ya Willian, wakati bao lingine la Chelsea limefungwa na Emerson dakika ya 79, baada ya Daniel Sturridge kutangulia kuifungia bao zuri Liverpool dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man Utd plans Hojlund, Lookman swap deal Lookman
-
Rasmus Hojlund could be set for a stunning return to Atalanta as Manchester
United considers offering the forward in a swap deal for Ademola Lookman.
Hoj...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment