// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, September 14, 2018

    HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
    HAPO kabla isingekuwa rahisi sana kueleza namna ambavyo unaweza kubashiri michezo kadhaa na ukafurahia ushindi mara mbili kwa kujishindia fedha taslimu na bajaji.
    Lakini SportPesa tulikuja kuwaonyesha wateja wetu kwamba inawezekana kushinda zaidi kwa kukinyakulia bajaj mpya. 
    Hili linathibitishwa na Hamisi Swalehe kutoka Yombo Vituka, ambaye anasema hapo kabla alikuwa anafanya shughuli zake kwa kubahatisha, lakini ujio wa SportPesa ulibadili mwelekeo wa maisha yake. 

    Anasema baada ya kujishindia bajaj mpya na SportPesa ameweza kununua pikipiki mbili maarufu kama bodaboda ambazo zinamwingizia fedha kila siku. 
    Kwa upande wa familia, Swalehe anasema mambo yamebadilika sana kwani bajaj imeifanya familia yake kuishi kwa furaha na uhakika. 
    Huu ni ulikuwa mpango mkakati wa SportPesa kuboresha maisha ya wateja wake kwa njia rahisi na ya furaha bila kutumia nguvu, hii ndiyo SportPesa  ilivyogusa maisha ya wengi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top