• HABARI MPYA

        Wednesday, September 26, 2018

        GRIEZMANN AFUNGA ATLETICO MADRID YASHINDA 3-0 WANDA

        Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Huesca kwenye mchezo wa La Liga jana. Mabao mengine ya Atletico yalifungwa na Thomas Partey dakika ya 29 na Koke dakika ya 33 Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA ATLETICO MADRID YASHINDA 3-0 WANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry