Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia na beki Mspaniola, Sergioa Ramos baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Leganes katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Benzema amefunga mabao mawili dakika za 48 na 61, Ramos dakika ya 66 na lingine, Gareth Bale dakika ya 17 na Sergio Ramos dakika ya 66 kwa penalti, wakati la Leganes limefungwa na Giudo Carillo kwa penalti dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wes Welker Fired as Dolphins WRs Coach by Mike McDaniel After Missing NFL
Playoffs
-
The Miami Dolphins have parted ways with wide receivers coach/pass game
specialist Wes Welker. Dolphins head coach Mike McDaniel announced the move
in a…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment