Gerard Pique akikimbia na Lionel Messi kurudisha mpira katikati baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 63 katika sare ya 2-2 na Girona Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana. Hiyo ni baada ya Cristhian Stuani kuifungia mabao mawili Girona ndani ya dakika sita, dakika ya 45 na 51 kufuatia Messi kuanza kuifungia Barca dakika ya 19 katika mchezo wa La Liga. Barcelona ilimaliza pungufu baada ya refa, Gil Manzano kumtoa kwa kadi nyekundu Clement Lenglet dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ibrahim Tanko satisfied with Accra Lions performance despite defeat to
Hearts of Oak
-
Accra Lions boss Ibrahim Tanko has expressed satisfaction with his team's
performance despite their narrow 3-2 loss to Hearts of Oak in the Ghana
Premier L...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment