Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akimiliki mpira mbele ya beki wa Reha FC katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 2-2
Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akijaribu kutia krosi
Kiungo wa Azam Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwatoka wachezaji wa Reha FC
Winga Mghana wa Azam FC, Ennock Atta-Agyei akitia krosi mbele ya beki wa Reha
Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Reha
Kiungo wa Azam FC, Salmin Hoza akimiliki mpira katikati ya Uwanja
Report: Mike McCarthy, Cowboys Haven't Discussed Contract Amid Bears,
Saints Rumors
-
Mike McCarthy's future in Dallas is very much up in the air. According to
ESPN's Adam Schefter, there reportedly "still haven't been any negotiations
on a ...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment