Mesut Ozil (katikati) akifurahia na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 58 ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 49, wakati la Newcastle lilifungwa na Ciaran Clark dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Every word from Mikel's pre-Tottenham presser
-
Find out what the manager had to say the media ahead of our north London
derby with Spurs on Wednesday night
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment