// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 12, 2018

    ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA

    KAMPUNI ya Sportpesa inaposema Kuwa wanainua kama si kuboresha maisha ya watanzania huwa wanamaanisha. 
    Takribani siku mia moja zilitumika kuwaunganisha wana michezo katika kubashiri michezo mbalimbali na kujipatia mkwanja baada ya kushinda huku mshindi akiwa ana uwezo wa kuibuka na bajaj aina ya TVS king kutoka sportpesa. 
    Hii ilikuwa promosheni maalumu ilioyoisogeza Sportpesa karibu kbs na wateja wake, lkn pia ikiinua maisha yao kwa njia rahisi kabisa ya kubashiri mechi kadhaa na kushinda Bajaji

    Ali Seif Said amekuwa anamiliki salon ndogo Mbagala Charambe kabla ya kubashiri na Sportpesa 

    Hapa tunakwenda moja kwa moja Mbagala Charambe tunakokutana na Ali Seif Said, mmiliki wa salon ndogo katika eneo hili kabla ya kubashiri na Sportpesa. 
    Bwana Said aliyejiunga na timu ya ushindi kwa kubashiri na Sportpesa, alifanikiwa kuwa miongoni mwa washindi wengi waliojishindia Bajaji
    Ni ushuhuda wake kwamba ushindi huo ulibadili kabisa maisha yake kwa kuanzisha salon mpya na ya kisasa kabisa. 
    Lakini kama vile hiyo haitoshi, bwana Said alinunua kiwanja huko maeneo ya Chatembo mkoani pwani. 
    Maisha ya Ali Seif Said yamebadilika kabisa kwa kutumia viganja na vidole tu, kubashiri michezo mbalimbali na hatimaye kushinda bajaj iliyompa mwonekano na maisha mapya kabisa. 
    Hii ndiyo Sportpesa inayokujali na kukusaidia kuinua maisha yako bila kutoka jasho Cha kufanya Ni Kujisajili kupitia simu yako Ya Kiganjani Kwa kutuma neno Soka kwenda 15888 ili ujiunge na Familia kubwa ya Ushindi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top