• HABARI MPYA

        Saturday, September 29, 2018

        AGUERO AFUNGA LA PILI MAN CITY YAIKANDAMIZA BRIGHTON 2-0 ETIHAD

        Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 29 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AGUERO AFUNGA LA PILI MAN CITY YAIKANDAMIZA BRIGHTON 2-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry