
Sunday, September 30, 2018

Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga SC umemalizika kwa sare ya bila k...
BALE ALIUMIA JANA REAL MADRID IKILAZIMISHWA SARE NA ATLETICO
Sunday, September 30, 2018
Gareth Bale jana aliichezea kwa dakika tu 45 Real Madrid dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kabla ya kutolewa kufuatia kuumia...
CRISTIANO RONALDO JANA ALISETI MBILI JUVE IKIUA 3-1 SERIE A
Sunday, September 30, 2018
Cristiano Ronaldo wa akionyesha uwezo wake katika mchezo wa Serie A Juventus ikishinda 3-1 dhidi ya Napoli Uwanja wa Allianz mjini Torino...
JANA BARCA CHUPUCHUPU WAFIE CAMP NOU, SARE 1-1 NA BILBAO
Sunday, September 30, 2018
Mshambuliaji Lionel Messi wa Barcelona akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Athletic Club Bibao jana Uwanja wa Camp Nou katika mche...
NEYMAR ALIVYOFURAHI BAADA YA KUIPIGIA MBILI PSG JANA
Sunday, September 30, 2018
Winga Muargentina, Angel Di Maria akimuinua mshambuliaji Mbrazil, Neymar kumpongeza baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain d...
ZAHERA AMSIMAMISHA MAKAMBO KAMA MSHAMBULIAJI PEKEE YANGA SC MECHI NA SIMBA LEO
Sunday, September 30, 2018
Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amemuanzisha Mkongo mwenzake, Heritier Makambo kama mshambuliaji pekee kwa a...
WEZI WAVAMIA MAKAO MAKUU YA KLABU YA LIPULI FC IRINGA, WAVUNJA NA KUIBA JEZI ZOTE ZA TIMU
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, IRINGA OFISI za klabu ya Lipuli FC mjini Iringa zimevamiwa na watu wasiojulikana ambao wameiba jezi zote za timu hiyo z...
KUELEKEA PAMBANO LA WATANI SAA 11:00 JIONI TAIFA; SIMBA SC WANATOKEA MBEZI BEACH, YANGA WANATOKEA MANZESE
Sunday, September 30, 2018
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM WATANI wa jadi wanaingia kwenye mchezo wa leo wakitoka kwenye mazingira tofauti, Yanga SC wakitokea Manzese ...
CAF YAITHIBITISHA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA FAINALI ZA AFCON 17 MWAKANI
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeithibitisha rasmi Tanzania kuwa wenyeji wa Faina...
KOCHA MSAIDIZI AZAM FC, JUMA MWAMBUSI AWATAKA MAREFA KUTENDA HAKI LIGI KUU
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Juma Mwambusi, ameweka wazi kuwa timu...
KIKOSI CHA SIMBA SC MECHI NA WATANI HIKI HAPA; OKWI, CHAMA NA KAGERE WOTE WANAANZA
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mbelgiji wa Simba SC, Patrick J Aussems amewaanzisha kwa pamoja washambuliaji Emmanuel Okwi na Medd...
KASEJA ASEMA KMC WANAELEKEZA NGUVU ZAO KWENYE MCHEZO UJAO NA KAGERA SUGAR
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MWANZA KIPA mkongwe wa KMC, Juma Kaseja amesema kwamba wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanz...
KATWILA ASEMA MTIBWA SUGAR HAWADHARAU MECHI KWA SABABU LIGI KUU MSIMU HUU NGUMU
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO KOCHA wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema kwamba wao hawadharau mechi kwa sababu Ligi Kuu Tanzania Bara ms...
MBEYA CITY WAPANIA KUMALIZIA HASIRA ZAO KWA STAND UNITED KESHO SHINYANGA
Sunday, September 30, 2018
Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM TIMU ya Mbeya city kesho itashuka dimbani kumenyana na timu ya Stand United katika mji wa Shinyanga ikiwa ni ...
NGOMA: NIMEFURAHI SANA KURUDI UWANJANI SASA SUBIRINI NIKAE SAWA MUONE KAZI
Sunday, September 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya jana kucheza mechi yake ya kwanza Azam FC akitokea kwenye majeruhi, mshambuliaji Donald Ngoma, a...
MATOEKO YA MECHI ZOTE NA LIGI KUU SIMBA NA YANGA:
Sunday, September 30, 2018
JUMLA ya mechi 100 za Ligi Kuu na Ligi ya iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zimekwishazikutanisha Simba na Yanga tangu mchezo wa kwanza Juni ...
Subscribe to:
Posts (Atom)