Beki na Nahodha wa Rayon Sport, Abdoul Rwatubyaye akiteleza miguuni mwa mshambuliaji Mkongo wa Yanga SC, Heritier Makambo kuondosha mpira jana Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigli katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika. Rayon ilishinda 1-0 PICHA KWA HISANI YA NEW TIMES
Nyota wa Rayon Sport, Djabel Manishimwe akimtoka beki na Nahodha wa Yanga SC, Kelvin Yondan
Kiungo wa Rayon Sporys, Kevin Muhire akimtoka kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib
Beki wa Yanga SC, Gardiel Michael akiondosha mpira miguuni mwa beki wa kulia wa Rayon Sport, Saddam Nyandwi
Mfungaji wa bao pekee la Rayon Sport jana, Mshambuliaji Mrundi Caleb Bimenyimana akifurahia kuipeleka timu yake Robo Fainali
Tributes pour in after 'incredible' father of Georgia coach Kirby Smart
tragically dies after fall
-
Smart Sr. died on Saturday morning while surrounded by his family and his
passing prompted an outpouring of grief from across sports and Georgia.
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment