// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, August 10, 2018

        YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO

        Viungo Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) na Emmanuel Martin (kushoto) wakiwa mazoezini na klabu yake, Yanga SC Uwanja wa Highland Park mjini Morogoro kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Mawenzi Market Uwanja wa Jamhuri maalum kumuga aliyekuwa Nahodha wao, Nadir Haroub 'Cannavaro'
         Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko (kushoto) naye amefanya mazoezi
        Kiungo Mkongo, Papy Kabamba Tshishimbi akimtazama mwenzake anavyofanya mazoezi kwa bidii 
        Kocha kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwinyi Zahera akiongoza mazoezi leo Morogoro 
        Wachezaji wa Yanga SC wakijifua kwa bidii leo mjini Morogoro

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC KATIKA MAZOEZI LEO MJINI MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry