Beki wa Simba SC, Shomari Kapombe akiwa juu kuwania mpira dhidi ya beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba SC ilishinda 1-0.
Kiungo wa Simba SC, Hassan Dilunga (kulia) akkiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons
Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akijaribu kumpita James Mwasote wa Tanzania Prisons
Mshambuliaji wa Simba SC na Nahodha, John Bocco akiwatoka mabeki wa Tanzania Prisons
Mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Kelvin Friday akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba
Kiungo wa Simba SC, Shiza Kichuya (kulia) akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto)akiondoka na mpira
Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin (katikati) akiuwahi mpira dhidi ya beki wa Prisons, Nurdin Chona
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Tanzania Prisons kabla ya mchezo wa jana
Tributes pour in after 'incredible' father of Georgia coach Kirby Smart
tragically dies after fall
-
Smart Sr. died on Saturday morning while surrounded by his family and his
passing prompted an outpouring of grief from across sports and Georgia.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment