Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akimkabidhi jezi yake shabiki bora wa mechi ya jana, baada ya kutokea benchi na kuifungia timu yake, KRC Genk ikiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Waasland Beveren katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji Uwanja wa Luminus Arena na kuchaguliwa Mchezaji Bora wa mchezo huo.
Katika mechi ya Genk huwa kuwa uteuzi wa Mchezaji Bora na Shabiki Bora wa Mechi
Na Mbwana Samatta alifunga bao zuri jana akitokea benchi Genk ikiendeleza wimbi la ushindi


0 comments:
Post a Comment