Wachezaji wa Yanga wakipata chakula cha usiku katika kambi ya timu ya taifa, Taifa Stars, hoteli ya Sea Scape baada ya kuripoti leo muda mfupi tu kufuatia kurejea nchini wakitokea Rwanda ambako timu yao ilikwenda kumenyana na Rayon Sport na kufungwa 1-0 Jumatano
Wachezaji wengine wa Stars wakiongozwa na kipa wa Simba SC, Aishi Manula wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Boko Veterani

0 comments:
Post a Comment