Msanii Tundaman akitumbuiza wakati wa tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Wachezaji wa Simba SC (kulia) na Asante Kotoko (kushoto) wakiingia uwanjani kwa ajili ya mechi ya kuhitimisha tamasha la Simba Day
Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa

Shabiki wa Yanga SCkatikati ya mashabiki wa Simba SC kwenye Simba Day juzi
Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa
Mashabiki wa Simba SC wakifurahia na mdoli waliyemvalisha nguo za rangi za mahasimu wao, Yanga
Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa

0 comments:
Post a Comment