Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akisikitika baada ya kugongesha mwamba shuti lake akiwa jirani na lango la Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands timu hizo zikitoka sare ya 1-Willy Boly alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 57 tu, kabla ya Aymeric Laporte kuisawazishia Man City dakika ya 69, kocha Pep Guardiola akipunguzwa kasi baada ya kushinda mechi mbili mfululizo za mwanzo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Noise machines installed by LA Home Depot ‘torture’ for day laborers,
advocates say
-
Advocates call for removal of machines and demand that company speak out
against ICE raids in parking lots
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment