Beki wa kulia wa kikataifa wa Tanzania, Hassan Ramadhani Kessy akipeana mkono na kiongozi wa Nkana FC wakati wa kutambulishwa kwake leo mjini Lusaka, Zambia kufuatia kusaini mkataba wa miaka miwili
Hassan Kessy anayejiunga na Nkana FC akitokea Yanga SC ya nyumbani, Dar es Salaam amekabidhiwa jezi namba 22
Pamoja na Hassan Kessy aliyedumu kwa miaka miwili Yanga SC akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, Nkana FC pia imetambulisha wachezaji wengine wapya leo


0 comments:
Post a Comment