Jeff Hendrick (kushoto) wa Burnley akitaniana na mchezaji wa zamani wa Arsenal na Tottenham, Emmanuel Adebayor ambaye kwa sasa anachezea Istanbul Basaksehir baada ya mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu ya mchujo wa UEFA Europa League jana Uwanja wa Turf Moor. Burnley ilishinda 1-0, bao pekee la Jack Cork dakika ya 97 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 1-0 baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Uturuki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea star will only be allowed to join Borussia Dortmund on a PERMANENT
deal this month, amid loan interest - as two Premier League rivals eye-up
£12m-rated international
-
SIMON JONES: This included all 90 minutes of the 5-0 thumping of League Two
strugglers Morecambe on Saturday afternoon.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment