Friday, August 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM JUMLA ya Sh 29,316,092 zimepatika kutokana na michango ya wapenzi na wanachama wa Yanga kwa klabu yao kat...
AKINA SAMATTA WAPEWA KUNDI JEPESI EUROPA LEAGUE…TIMU TISHIO KWAO NI BESIKTAS YA UTURUKI
Friday, August 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, MONACO MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ya timu yake, KRC Ge...
AMUNIKE AWASAMEHE WACHEZAJI SIMBA SC LAKINI AKATAA KUWAREJESHA KAMBINI MECHI NA UGANDA
Friday, August 31, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mnigeria, Emmanuel Amunike amekataa kuware...
UCHAGUZI MKUU WA TASWA KUFANYIKA NOVEMBA 25
Friday, August 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), iliyokutana Dar es Salaam ...
UEFA KUANZISHA MASHINDANO YA TATU YA KLABU ULAYA
Friday, August 31, 2018
SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa katika mchakato wa kuanzisha mashindano mapya ya klabu, ambayo yatakuwa ya tatu baada y...
CHELSEA NA LIVERPOOL KUKUTANA RAUNDI YA TATU CARABAO CUP
Friday, August 31, 2018
Liverpool na Chelsea zitamenyana katika Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI GONGA HAPA RA...
WACHEZAJI WA YANGA WARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS
Friday, August 31, 2018
Wachezaji wa Yanga wakipata chakula cha usiku katika kambi ya timu ya taifa, Taifa Stars, hoteli ya Sea Scape baada ya kuripoti leo muda ...
SAMATTA AFUNGA TENA GENK IKIWAPA WAPINZANI 4-2 NYUMBANI KWAO NA KUINGIA MAKUNDI EUROPA LEAGUE
Friday, August 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, BRONDBY MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekamilisha mchango mzuri kwa timu yake, KRC Genk ...
Thursday, August 30, 2018
LUCA MODRIC NDIYE MFALME MPYA WA SOKA ULAYA
Thursday, August 30, 2018
Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) PICHA ZAIDI GONGA HAPA WASHINDI WA TUZO ...
RONALDO USO KWA USO NA MOURINHO MAN UNITED
Thursday, August 30, 2018
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na mabingwa wa Italia, ...
SOUTHGATE AMTEMA YOUNG, AMCHUKUA LUKE SHAW ENGLAND
Thursday, August 30, 2018
KOCHA Gareth Southgate amemuita kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England, Luke Shaw chenye chipukizi wengi zaidi, akijumuisha wachezaji 1...
ATHUMANI CHINA AUNGA MKONO AKINA KAPOMBE KUFUKUZWA TAIFA STARS…LAKINI AMTOLEA UVIVU RAIS KARIA
Thursday, August 30, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Athumani Abdallah ‘China’ ameunga mkono kitendo cha kocha wa ...
TIMU YA BANDA YAVUNA POINTI TANO KATIKA MECHI TANO ZA MWANZO LIGI KUU YA AFRIKA KUSINI
Thursday, August 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda na wachezaji wenzake wa Baroka FC wana kazi ya kufanya, kwani h...
GHARAMA ZA KUWAONDOA WACHEZAJI WA SIMBA TAIFA STARS NI KUBWA KULIKO AJUAVYO KIDAU
Thursday, August 30, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limechukua maamuzi magumu baada ya jana kuamua kuwaondoa wachezaji sab...
YANGA SC NA RAYON SPORT KATIKA PICHA JANA NYAMIRAMBO
Thursday, August 30, 2018
Beki na Nahodha wa Rayon Sport, Abdoul Rwatubyaye akiteleza miguuni mwa mshambuliaji Mkongo wa Yanga SC, Heritier Makambo kuondosha mpira...
MIKONO SALAMA KULINDA LANGO LA BESIKTAS, LAKINI SI LIVERPOOL
Thursday, August 30, 2018
Kipa Loris Karius akinyoosha miko yake wakati wa utambulisho wake kwenye klabu yake mpya, Besiktas mjini Istanbul jana kufuatia kukamilis...
NIYONZIMA 'ALIPOJOUNGA TENA' NA YANGA SC LEO MJINI KIGALI
Thursday, August 30, 2018
Kiungo Mnyarwanda wa klabu ya Simba, Haruna Niyonzima (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa klabu yake ya zamani, Yanga SC leo mjini K...
Subscribe to:
Posts (Atom)