Kiungo wa Yanga Sc, Raphael Daudi (kushoto) akimlamba chenga Nahodha wa Gor Mahia, Harun Shakava katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Gor Mahia ilishinda 3-2
Beki wa Yanga, Juma Abdul akipambana na kiungo wa Gor Mahia, George Odhiambo 'Blackberry'
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akimtoka beki wa Gor Mahia, Joash Onyango (katikati)
Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimvisha kanzu mchezaji wa Gor Mahia
Kiungo wa Gor Mahia, Francis Kahata akimtoka Yussuf Mhilu wa Yanga
Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akipambana katikati ya wachezaji wa Gor Mahia
Yussuf Mhilu wa Yanga akiwatoka wachezaji wa Gor Mahia
Wachezaji wa Yanga na Gor Mahia wakiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wa jana
Kikosi cha Yanga SC katika mchezo wa jana
Kikosi cha Gor Mahia katika mchezo wa jana
Week 16 Start 'Em, Sit 'Em: Advice for Unfavorable Fantasy Football Matchups
-
Week 16 got underway with Thursday night's AFC West showdown between the
Denver Broncos and Los Angeles Chargers. The two rivals were battling for
position...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment