Beki wa JKU, Edward Mayunga (kulia) akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Simba, Mohammed Rashid wakati wa mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Simba SC, Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere akimtoka beki wa JKU, Edward Mayunga
Beki wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akiudhibiti mpira dhidi ya kiungo wa JKU, Khamis Abdallah Ali
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' wa Simba SC akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa JKU
Kiungo Mghana wa Simba SC, James Kotei (kushoto) akitoa pasi dhidi ya wachezaji wa JKU
Kocha wa Simba, Mrundi Masoud Juma akiwa kwenye pilika za kuiongoza timu yake jana
Mshika kibendera namba moja, Salah Abdi Mohammed wa Djibouti akitoa mwongozo jana
Kikosi cha JKU kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha SImba SC kabla ya mchezo wa jana
Mashabiki wa Simba SC wanaendelea kuwa watu wenye furaha nchini
Kyle Walker hits back at fan criticism after he was accused of 'failing to
turn up' for Man City's draw with Brentford - as club captain tries to
secure transfer to Milan
-
Mail Sport exclusively revealed that Pep Guardiola had left Walker at home
ahead of the 2-2 draw after the defender asked to leave the club.
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment