Wachezaji wa Simba SC ya Dar es Salaam wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul, Uturuki walipoweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya
Hapa mabeki Erasto Nyoni (kulia) na Serge Wawa Pascal (wa nne kutoka kulia) wakiwadhibiti washambuliaji Emmanuel Okwi na Meddie Kagere katikati yao
Mshambuliaji Mohammed Abdallah akimiliki mpira pembeni ya beki Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Kipa Deogratius Munishi 'Dida' akijiandaa kudaka
Wachezaji wa Simba SC wakipambana mazoezini mjini Istanbul
Kocha mpya wa Simba SC, Mbelgiji Patrick J Aussems akiwapa mawaidha wachezaji leo mazoezini
Week 16 Start 'Em, Sit 'Em: Advice for Unfavorable Fantasy Football Matchups
-
Week 16 got underway with Thursday night's AFC West showdown between the
Denver Broncos and Los Angeles Chargers. The two rivals were battling for
position...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment