Rais wa Real Madrid, Florentino Perez (kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo, beki Alvaro Odriozola baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka Real Sociedad leo, huu ukiwa usajili wa kwanza tangu wamuuze nyota wao mkubwa, Cristiano Ronaldo kwenda Juventus kwa Pauni Milioni 100 juzi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nantes eye Kamaldeen Sulemana loan, Southampton hold out for permanent deal
-
Nantes have expressed interest in signing Kamaldeen Sulemana on loan from
Southampton during the January transfer window, according to Sky Sports
News.The ...
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment