Kipa Hashim Mussa akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kukamilisha usajili wake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Maji Maji FC ya Songea iliyoteremka Daraja.
Kipa Bruno Thomas akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili mama mchezaji huru, kufuatia kumaliza mkataba wake Nairobi City ya Ligi Daraja la Kwanza nchini Kenya. Kipa huyo mwenyeji wa Arusha, amewahi kuzidakia pia timu za Ping Limited FC ya Daraja la Pili nchini Kenya, Gadidka ya Ligi Kuu ya Somalia na Qatar United ya Qatar
Beki wa kushoto, Hamim Abdul Karim akiwa ameshika jezi ya Mbao FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na timu hiyo kwa mkopo kutoka Azam FC. Hamim amewahi kuzichezea timu za Toto Africans, Pamba SC za Mwanza pia, Geita Gold SC ya Geita na CDA ya Dodoma
NBA Rumors: De'Aaron Fox Hasn't Requested Trade from Kings Despite Rich
Paul Meeting
-
De'Aaron Fox's agent, Rich Paul, reportedly met with Sacramento Kings
general manager Monte McNair and assistant general manager Wes Wilcox
before Thursday's…
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment