Mshambuliaji waSimba Adam Salamba akiwania mpira dhidi ya kiungo, Mohammed 'Mo' Ibrahim katika mazoezi ya timu hiyo kwenye moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul
Mshambuliaji wa Simba Adam Salamba akimdhibiti Muzamil Yassin katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul
Muzamil Yassin akipambana na Adam Salamba katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul
Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Mohammed Rashid akpigania Ulaya
Simba Adam Salamba akimdhibiti Muzamil Yassin katika moja ya viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul




0 comments:
Post a Comment