Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akimiliki mpira dhidi ya beki mwenzake wa pembeni, anayeweza kucheza kama beki wa kati na kiungo pia, Shomari Kapombe kwenye mazoezi ya Simba leo mjini Istanbul, Uturuki
Kiungo Mohammed 'Mo' Ibrahim akipasua katikati ya wachezaji wenzake leo jioni kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu
Kiungo Said Ndemla akikijivuta kupiga mpira leo kwenye kambi ya Simba ya Uturuki
Shomari Kapombe (kulia) akitoa pasi mazoezini leo
Kocha Mbelgiji wa Simba C, Patrick J Aussems akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
Kiungo Jonas Mkude akiwa kwenye mazoezi ya gym jioni ya leo katika kundi lingine la wachezaji wa Simba
Meddie Kagere akifanya mazoezi ya gym jioni ya leo
Mshambuliaji Adam Salamba akiwa katika mazoezi ya gym
Kocha wa mazoezi ya viungo wa Simba akiwangoza wachezaji wa Simba waliokuwa wana programu ya mazoezi ya nguvu jioni ya leo
Week 16 Start 'Em, Sit 'Em: Advice for Unfavorable Fantasy Football Matchups
-
Week 16 got underway with Thursday night's AFC West showdown between the
Denver Broncos and Los Angeles Chargers. The two rivals were battling for
position...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment