// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
DILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEDILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
DILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA
Wachezaji wa Simba SC kutoka kulia, Meddie Kagere, Said Ndemla na Hassan Dilunga wakiwa mazoezi katika moja ya viwanja vilivyopo kwenye hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul, Uturuki baada ya kuwasili leo kuungana na wenzao
Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere (katikati) akiwa na Hassan Dilunga (kulia) na Adam Salamba (kushoto)
Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere (katikati) mbele ya Hassan Dilunga. Kulia ni Muivory Coast, Serge Wawa Pascal na Adam Salamba (kushoto)
Kutoka kulia Erasto Nyoni, Wawa Pascal, Meddie Kagere na Said Ndemla
Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini leo viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul
Makocha, Mbelgiji Patrick Aussems (kushoto) na Mrundi, Masoud Juma (kulia)
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment