Kipa wa Azam FC, Razack Abalora akiwa juu kudaka dhidi ya beki wa Simba, Paul Bukaba katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Simba SC, Marcel Kaheza akijaribu kuuweka sawa mpira katika himaya yake mbele ya beki wa Azam FC, Abdallah Kheri
Beki Mghana wa Simba SC, Nicholas Gyan (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa
Beki wa Simba Serge Wawa Pascal akimgeuza kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi'
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba, Paul Bukaba
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Rashid Juma (kulia) akitafuta maarifa ya kuwapita mabeki wa Azam, Nico Wadada na Aggrey Morris
Kocha wa Simba, Masoud Juma akitafakari mambo wakati wa mchezo wa jana
Kocha wa Azam FC, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwa amebebwa baada ya mechi
Kikosi cha Simba SC kabla ya mechi ya jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana
MLB Trade Rumors: Yankees' Stroman, D-Backs' Montgomery Expected to Move by
Teams
-
A pair of veteran starting pitchers could be on the move this offseason.
Per ESPN's Buster Olney, "there is an assumption among other teams" that
the New Y...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment