
Tuesday, July 31, 2018

Kipa mpya wa Liverpool, Alisson Becker akichupia mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo leo mjini Evian-les-Bains kusini mashariki mwa Ufaran...
SIMBA SC MAZOEZINI LEO ISTANBUL MAANDALIZI YA MSIMU MPYA
Tuesday, July 31, 2018
Wachezaji wa Simba SC ya Dar es Salaam wakifanya mazoezi kwenye viwanja vya hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul, Uturuki wal...
MAZOEZI YA AZAM FC KATIKA PICHA LEO MAKERERE
Tuesday, July 31, 2018
Wachezaji wa Azam FC, Wazimbabwe Tafadzwa Kutinyu (kulia) aliyesajiliwa kutoka Singida United na Donald Ngoma (kushoto) aliyesajiliwa kut...
AZAM FC YAANZA KUJIFUA VIKALI UGANDA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA...WATACHEZA MECHI NNE ZA KUJIPIMA
Tuesday, July 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, KAMPALA MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC wameanza mazoezi ya nguvu katika kambi yao ya mjini Kampala nchin...
RONALDO AFANYIWA VIPIMO VYOTE VYA AFYA JUVENTUS
Tuesday, July 31, 2018
Cristiano Ronaldo akifanyiwa vipimo vya afya jana makao makuu ya Juventus mjini Turin baada ya kuwasili tayari kuanza kazi kufuatia kukam...
Monday, July 30, 2018
RAIS SIMBA SC AMUONDOA NIYONZIMA KAMBI YA UTURUKI KWA KUCHELEWA…NA ANAWEZA KUCHUKULIWA HATUA ZAIDI ZA KINIDHAMU
Monday, July 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAIMU Rais wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema kwamba kiungo Mnyarw...
MASHABIKI WA YANGA SC WANAVYOTESWA NA TIMU YAO
Monday, July 30, 2018
Mashabiki wa Yanga wakitazama mchezo baina ya timu yao dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam Hadi mapu...
MTIBWA SUGAR YAMUONGEZEA MKATABA SALUM KIHIMBWA HADI 2021
Monday, July 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO KLABUya Mtibwa Sugar Sports Club imefanikiwa kuingia mkataba mpya na kiungo mshambuliaji wake Salum Ramadhani ...
BIASHARA UNITED YA MARA YAENDA KENYA KWA MECHI ZAIDI ZA KUJIANDAA NA LIGI KUU
Monday, July 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, MARA KLABU ya Biashara United ya Mara inatarajiwa kuondoka wiki hii kwenda Kenya kwa ziara ya mechi kadhaa za kirafiki ...
KCB WASAINI MKATABA MPYA NA TFF KUENDELEA KUDHAMINI LIGI KUU
Monday, July 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesaini mkataba mpya na benki ya Biashara ya Kenya (KCB) kuendelea ku...
AKINA SAMATTA WAANZA NA MOTO MSIMU MPYA LIGI KUU UBELGIJI…WAWAPIGA WAPINZANI 4-0
Monday, July 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, GENK NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameisaidia timu yake, KRC Genk kuifunga mabao 4-0 Sporting Lokeren k...
EDDY JUAN FRANCIS NA MANA NAKAO MABEKI WA TANZANIA WANAOTAMBA LIGI KUU ZA CHINA NA JAPAN
Monday, July 30, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Yussuf Yussuf Yurary Poulsen alikuwa mjadala mkubwa kwa wadau wa soka nchini Tanzania wakat...
MOURINHO NA SANCHEZ WAKITAFAKARI KIPIGO CHA LIVERPOOL
Monday, July 30, 2018
Mourinho akizungumza na Alexis Sanchez, ambaye anaaonekana hana furaha baada ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Liverpool juzi kwenye kam...
REAL MADRID WAANZA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA MAREKANI
Monday, July 30, 2018
Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid jana baada ya kuanza ziara yao ya Marekani kujiandaa na msimu mpya PIC...
RONALDO AWASILI TURIN KUANZA RASMI KAZI JUVENTUS
Monday, July 30, 2018
Ronaldo akipunga mikono baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Turin nchini Italia jana kujiunga rasmi na timu yake mpya, Juventus kwa maan...
YANGA NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
Monday, July 30, 2018
Kiungo wa Yanga Sc, Raphael Daudi (kushoto) akimlamba chenga Nahodha wa Gor Mahia, Harun Shakava katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirik...
Sunday, July 29, 2018
YANGA SC WADAI TFF IMEWAFUNGISHA KWA GOR MAHIA LEO…ILIONDOA NYOTA SITA KAMBINI JANA MCHANA NA KUWARUDISHA USIKU WA MANANE
Sunday, July 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Yanga SC, Mzambia Noel Mwandila amelalamikia kitendo cha Shirikisho la Soka Tanzania (T...
YANGA SC YAFUNGA KWA MARA YA KWANZA MAKUNDI AFRIKA IKICHAPWA 3-2 NA GOR MAHIA TAIFA
Sunday, July 29, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imefanikiwa kufunga mabao kwa mara ya kwanza katika Kundi D Kombe la Shirikisho la Afrika, laki...
YAHYA ZAYED AREJEA KIKOSINI AZAM FC BAADA YA KUSHINDWA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI
Sunday, July 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Yahya Zayed amerejea mjini Dar es Salaam kutoka Afrika Kusini alipokwenda kufany...
KILIMANJARO QUEENS WAKUTANA NA KATIBU WA WIZARA DODOMA KABLA YA KUENDELEA NA SAFARI KUREJEA DAR
Sunday, July 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DODOMA KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Suzan Mlawi leo ameupokea msafara wa timu ya Tanza...
BMT, TFF WASAIDIE KUWASHINIKIZA VIONGOZI YANGA WAITISHE UCHAGUZI HARAKA
Sunday, July 29, 2018
KWA mara nyingine Yanga SC imejikuta haina viongozi wote wa juu, kufuatia kujiuzulu kwa pia kwa Kaimu Mwenyekiti, Clement Sanga Julai 23, m...
Subscribe to:
Posts (Atom)